DHAMIRA YETU
Kukuza na kuwawezesha Viongozi duniani kote
MAONO YETU
Jumuia Zilizobadilishwa Kupitia Uongozi Uliovuviwa
MAADILI YETU YA MSINGI
Umoja, Ubunifu, Uwajibikaji, Uadilifu na Ubora
LEIN Tanzania Chapter ni mwanachama wa Leadership Empowerment International Network (LEIN) ni Mtandao wa Kimataifa wa Uongozi wa Madhehebu na Wasio wa Kisiasa ambao lengo kuu ni kuwawezesha Viongozi wa Kikristo na Mashirika ili kuwafanya wawe na ufanisi zaidi katika masuala ya utawala na kutumikia jamii zao.
Last year our seats were filled very fast so don’t miss. Conference will start in
@JESUS NEWLIFE MINISTRIES (JENELIM) CHURCH HQS – MEMBLEY, OJEY ALONG RUIRU BYPASS, KENYA From 11th December to 14th December 2025
Kukuza na kuwawezesha Viongozi duniani kote
Jumuia Zilizobadilishwa Kupitia Uongozi Uliovuviwa
Umoja, Ubunifu, Uwajibikaji, Uadilifu na Ubora
Uanachama unatolewa na kusambazwa katika nchi zote za Afrika Mashariki yaani Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, Sudan Kusini na hivi karibuni kuunganishwa na DRC.
+255 755 845 430
P.O. Box Arusha
connect@tanzania.leinforum.org
Kituo cha JENELIM, Membley – Ruiru, karibu na Bypass, Kenya
+254 720 709 625
P.O. Box 18242 – 00100, Nairobi.
connect@leinforum.org